Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Onyesha full mkeka we umebahatisha hyo tuu shukuru mungu pesa yako bado iko salama
Hukuona hyo mkuu
Screenshot_2019-12-21-00-11-21.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah haya ma VAR hayana maana kabisa nna game ya Mainz over 0.5 FH goli mbili zimeshakataliwa na hayo maushenzi
 
Refa wa match ya Mainz kaondoka na mkeka wooote mamake.
Kwa leo inatosha
 
Back
Top Bottom