Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20191221_193326.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
honesty bayen kafanya nini mimi naongea tu ukweli, wanatakiwa waige mfano mzuri wawe kama huyu jamaa Mayu anapost mkeka watu wote tunaweka sio sijui goal kick . ndio maana wahenga walisema wengi wape!
Sasa Kaka kila mtu ana freedom katika betting kwamba ni kampuni ipi atumie apate hela...yan kwa kifupi ni kua, utafanya nn na kwa namna gani kupitia kampni fln upate hela via betting? Hilo ndy la msingi naona.

Hlf embu zungusha gurudumu uachane na mambo ya dk 90 cjui over cjui under!
 
Back
Top Bottom