Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah NOMA odds 57
Screenshot_20191221-195213.jpeg
Screenshot_20191221-194039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
honesty bayen kafanya nini mimi naongea tu ukweli, wanatakiwa waige mfano mzuri wawe kama huyu jamaa Mayu anapost mkeka watu wote tunaweka sio sijui goal kick . ndio maana wahenga walisema wengi wape!
Jifunze Kuvumilia Watu, Inawezekana Wewe Unamuona Mayu Yuko Right Lakin Kuna Mtu Anamuona Anazingua Ma Hizo 2.000 Odds Cha Msingi Kuvumiliana

Katika Community Kama Hii Sio Kila Mtu Atapost Ambacho Kitakufanya Uwe Na Aman.

Tujifunze Uvumilivu Wote Tutafurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Kaka kila mtu ana freedom katika betting kwamba ni kampuni ipi atumie apate hela...yan kwa kifupi ni kua, utafanya nn na kwa namna gani kupitia kampni fln upate hela via betting? Hilo ndy la msingi naona.

Hlf embu zungusha gurudumu uachane na mambo ya dk 90 cjui over cjui under!
hahahahaa dah unataka niwe sungusungu wapili?
 
Back
Top Bottom