Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakali Wa kubet bongo wasap group weka namba nkuaddd

Endelea kujidanganya na what's app group ndio maana watu awaweki mikeka na analysis za maana kisa huu upumbavu wenu wa what's app haya mtakuja kuomba badae mkipata matatizo ya kutoa ela na kulalamika mnaliwa tu hapa kuna watu wengi wanajua hii biashara pia jua na makampuni yanawatu wao hili yapate faida lazima wavuruge kama wewe unavyokatisha wadau kwenye jukwaa kushauri watu hii biashara
 
Hapo vp wadau,
 

Attachments

  • 1447585965019.jpg
    32 KB · Views: 240
Leo
Togo win
Norway win
Osasuna win
Odds 22 source bet365.com
Weka hata 10000 unapata mafuta ya mwezi mzima kwa Sie wenye vi babe walker
 
Haya sasa mimi mistress wa betting nampiga mzungu hadi ameniuzia kampuni...
Weka namba niku add...
Hi hi hiiiiiiii.
HAMNA MTEREMKO HAPA.
 
Bet365 naona kuverify ID inatumia weeks, kuna mtu ameimaliza registration vizuri?
 
Humu ndani kuna wateja wengi aisee... ngoja nidundulize nifungue duka la kubeti soon.. wajinga ndio waliwao..

Napita tuu...

check ur words...can u justify ujinga wa mwenzio pasipo kuwa sehemu yao?
Shame......n ......u
 
hahaaa magroup ya whatsap yatawashinda na kurudi kwenye ngome kongwe.
muziki mnene. Hakunaga kama Hili jukwaa.
 

uko vzuri mkuu.
 
Mbavu mbili usitufanyie hivyo asee hivi hao wataalamu mlishawahi kuona mikeka Yao? Wanahangaika tu jamvi hili ni la muhimu sana kwa uhai wetu wa betting.
 
Acheni usengerema basi hivi vitoto vidogo vimetoka wapi huku? Zinaingia notification kibao nafrahi najua deal za mikeka nakutana na namba za niadd nyambaffu acheni usela mavi basi. Mnataka magroup ya whatsapp ya nn kama kweli nyie ni wakali wa kubett tanzania wekeni mikeka hapa kama hamwezi acheni huo upuuzi maana tushawaoneni kama wakundugu zetu hapa sasa mnakerraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…