MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Leo pesa ipo....trust me...
Umenena kiongozi tena nyingi mno, tatizo mitaji maana timu za uhakika kwa leo ni nyingi mno ila odds zao ni ndogo hivyo inaweza ikawapelekea watu wengine kutandaza mkeka wa timu hadi 15 kumbe mna hata matangapori mawili ndani yake.