Pole sana kaka,weka hapo pesa utarudisha ata uloliwa jana.Watu wenye bahati mbaya odds 1.26 kwa 15k ili nivunr elfu 7k tu. nimepiga mahesabu kwa siku kumi ntakuwa na 70k.
Kila strategy inagoma.
Wa misri wameshindwa kupata goli moja kwa dakika zote 95. Ingawa historia ina beba.
Wakati watu wakibetika sie wengine tunabetuka.Pole sana kaka,weka hapo pesa utarudisha ata uloliwa jana. View attachment 1302989
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ubarikiwe utaokoa wengiTumia link hii kujua namba yako ya NIDA (Kitambulisho cha Taifa)
ball/volleyball n soccer100%
View attachment 1303054christmass money
tusisahau kubana pyumbu
WANGEJUA HILO SI WANGEACHA NA KUGANGISHA WATUNatafuta mganga wa kuweza kunipa ubashiri wa Perfect 12 then nitagawana nae pasu mkeka ukitiki.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app