Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu frankie23 bora umejitokeza humu.. Nilikuwa nahitaji sana maelezo kuhusu huu mchezo.. HV unakuajekuaje maana naona periods mchezo kama zote.. Na vipi upande wa draw..
Ni mara nyingi draw huwa zinatikea au niaje.. Nahitaji maelezo yako kiongozi
 
Hizo Odds za kutosha hapo
Nilimuua Zamaleki angefungwa Christmass ingekua poa sanaa

Huyo Molyanes mnaona hapo alipewa point 7 kama angeshinda na kashinda kweli ni kujilipua tu tu
Screenshot_20191224-231350.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mtandao wa mafias hawa manyang'au ndo wanadili na hizo mambo, wao wanadili na kufix matokeo ligi ndogo mfano ligi ya pili ya german 3rd league na zile ligi za watoto mfano under 23, na si rahisi kuingia ktk inner circle yao... Hawa jamaa huwezi kuwakuta FB wala telegram wanajitangaza eti wanauuza fixed match... labda mtu akupe mchongo namna gani unawapata... sana sana wapo huko darkweb... na uwezi kuta wanauza fixed match kwa 30$...... sahau hiyo kitu.......

Nawezaje kuzama huko dark web??
 
Wakuu nimeona nijilipue wiki nzima kabisa maana ligi nyingine zimesimama kupisha majira ya baridi. Nani atachomoa betri hapa nimchomoe mapema sana kabla hajanichomolea?👇

1577251706901.png
 
Back
Top Bottom