The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Elimu nzuri na isiyosahaulika ni ile unayojifunza wewe mwenyewe.Yaani mimi kuna mtu ananishawishi kuniuzia mikeka yenye correct score/fixed matches na zinaanzia Odds 200+
Amenishawishi sana lakini bado roho inagoma. Akituma screenshots za mikeka inaonekana kala kweli,anaweka 20k anakula 4m hadi 6m (milioni).
Ukimwambia kuhusu matapeli naye anakupa somo kweli juu ya matapeli hivyo yeye sio tapeli.
Mpaka nasema kama uoga wangu ndiyo umaskini wangu basi sawa. Zama hizi za Magu ngumu sana!! Lakini je,ni kweli fixed matches zipo au magumashi?! Aje basi mtaalamu wa hizi kazi humu tupate somo ili mtu ukiamua kununua mkeka iwe ni parking at your own risk!
Tusije sema hatukuambiwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
La msingi: nunua hizo fixed tips hlf upate mrejesho. Nachokiamini ni kua baada ya wewe kupata mrejesho, basi utakua Mwalimu kwa wengi. Mana tumeshasema kua kununua tips ni uhuni tu unafanyika ila huelew, sasa nunua ujifunze baada ya kununua.
Usichoshe watu, watu tunamuwaza madrid na juve huku!