Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
jitoe muhanga hapangoja nijaribu Tatu Mzuka naweka mtaji wa jero nitaleta mrejesho
jitoe muhanga hapangoja nijaribu Tatu Mzuka naweka mtaji wa jero nitaleta mrejesho
Endelea kumsubiria....Ila kwa sasa anakata viuno tu Uwanjani.....WADAU EH NIMEBET PESA NDEFU NA MSUBIRIA BLACKBURN NA BUNDLE LIMEKATA MSAADA SINA JINSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we nae wa wap unatuwekea no zako za simu hukuHellow bro nashda nawe nichek kwa number hi 0758334599
Pole mkuu naona Blackburn walikata naona kweliWADAU EH NIMEBET PESA NDEFU NA MSUBIRIA BLACKBURN NA BUNDLE LIMEKATA MSAADA SINA JINSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kings vs Rockets - 3Q Over 54.5
Odds 1.81
Sent from my iPhone using JamiiForums
dondosha Mwingine nitembee nao
Mkuu Al Ahly hana muda kamtandika mtu 4-0....hadi sasa kwenye ligi yao kacheza game nane na hajapoteza ata moja zote kashinda....kwa ufupi Al Ahly ni pesa😋
Maajabu nn kiongoziJana ilikuwa siku nzur sana katika maisha ya ku bet
Namaanosha jana watu wametusuaJana ilikuwa siku nzur sana katika maisha ya ku bet
USIPOMLA.MHINDI LEO BASII MPAKA.MWAKANIView attachment 1302016
Ongeza YANGA WINView attachment 1302016