Wallen welalis
New Member
- Dec 21, 2019
- 3
- 0
Hellow bro nashda nawe nichek kwa number hi 0758334599
Inaweza ikawa kweli.. mfano mechi ya jana ya Real Madrid aliongoza kwa kila kitu lakini akatoa draw ya bila hata goli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mechi yenyewe ilikuwa usiku wa saa tano wakati mtu unasubiri Madrid apate goli moja mkeka utiki, anatoa sare ya bila bila.Tusichokijua wengi wetu ni kwamba siku ya J'mosi na J'pili ni siku ambazo "kamati ya roho mbaya" ya kanjibai inatekeleza majukumu yake iliyopewa...wee piga hela zako kwenye betting from J3 to ijumaa lakini ujue hizo siku mbili zilizobaki ni za Kanji kurudisha pesa zake ulizomla wiki nzima...nina uzoefu na ninachokiongea...weekend kwa maana ya J'mosi na J'pili kuna "fitina" nyingi sana zinaendelea nje ya uwanja especial ktk soka ili kum-favor kanji na biashara zake...siku hizi mbili J'mosi na J'pili ndiyo uwa mara nyingi timu kubwa upata matokeo ya draw au lose dhidi ya timu ndogo tofauti na matarajio ya wakamaria wengi(chunguza utagundua hili) na wakamaria wengi kupoteza pesa na kumpa faida kubwa Kanji.....wakamaria tushtuke tuwe makini na hili
Inaweza ikawa kweli.. mfano mechi ya jana ya Real Madrid aliongoza kwa kila kitu lakini akatoa draw ya bila hata goli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mechi yenyewe ilikuwa usiku wa saa tano wakati mtu unasubiri Madrid apate goli moja mkeka utiki, anatoa sare ya bila bila.
[/QUOina kela sana
Siyo mbaya uka-share mkuu ili bomu likilipuka tufe wote😜😎
Usipende kuanika namba zako humu ingia Private messageHellow bro nashda nawe nichek kwa number hi 0758334599
Tuma tena mkuu....screenshot haifunguki[emoji465][emoji465][emoji465][emoji465][emoji465][emoji465][emoji465][emoji725][emoji725]View attachment 1301510
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo option kwa kifupi inahusisha matukio mawili tofauti yaani kwakizungu ni double betting techniques ( in mwalimu kashasha voice) hapo una 3 way na both team to score. so kama ukichagua 1-YES maana yake wa nyumbani ashinde lakini wafungane mwisho wa siku mfano 2:1, 3:2, 4:2,...ikitokea wa nyumbani ameshinda na wa ugenini hajapata goli yaani mfano 1:0, 2:0, 3:0 ujue your bet is lost.Wakuu ukitupia hio matokeo yanatakiwa iweje ili ushinde View attachment 1301617
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hizo ni tips tu, unaruhusiwa kupunguza au kuongeza kitu kwa jinsi unavyozifahamu timu. Kwa kuwa hii ni kamali chochote chaweza tokea.
JI ADDD MKUUUUU
Dah! Bingwa hakika umevurugwa na Kanji...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nijaribu Tatu Mzuka naweka mtaji wa jero nitaleta mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na maana ajiongezeJI ADDD MKUUUUU