Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Booking number Z3HJ6RFZ found.

Selections added to the betslip
1801Supercoppa
Juventus - Lazio
1X1.23๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎuseless๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

1563Serie A
Parma - Brescia
1X1.22โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

1214Premier League
Tottenham - Chelsea
1X1.38๐Ÿšฎ๐Ÿšฎuseless๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

13822. Bundesliga
Sandhausen - Holstein Kiel
GG1.57โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

1215Eredivisie
Utrecht - Feyenoord
Over(2.5)1.52โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

1927Eerste Divisie
Excelsior - Cambuur
Over(2.5)1.40โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

1221Eredivisie
Vitesse - Venlo
1X & Over(2.5)1.54โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…
 
โœ…โœ…โœ…WOOONโœ…โœ…โœ…

Bundesliga
Paderborn - Eintracht Frankfurt
Over(2.5)1.40โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

Division Profesional, Clausura
Real Potosi - The Strongest
Over(2.5)1.33โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

Division Profesional, Clausura
Bolivar La Paz - CA Nacional Potosi
Over(2.5)1.22โœ…โœ…โœ…โœ…โœ…

Odds 2.27
 
FIRST FREE TIP
WON โœ…โœ…โœ…โœ…
IMG_20191223_080755_753.jpg
 
FOURTH FREE TIP
WON โœ…โœ…โœ…โœ…

FIFTH FREE TIP
WON โœ…โœ…โœ…โœ…
IMG_20191223_081101_851.jpg
IMG_20191223_081052_814.jpg
 
Nilichojifunza kwenye kamari...bado wengi tunabeti kwa mazoea..tunaangalia sana timu kubwa na kuzipa ushindi wa moja kwa moja..na kwa kulijua hilo kampuni hizi wanafanya wanayayoyajua mpaka matokeo yanakuja tofauti na matarajio..kuna mchezo mchafu sana unaendelea nyuma ya pazia..

Game nyingi tunazoangalia tayari matokeo wanayo..ile kuingia uwanjani ni ushahidi tu...yaani kuna wakati nahisi uwanjani kuna watu hatuwaoni kwa macho ya kawaida wanaratibu kila kinachoendelea..anyway mwisho wa siku ni staretegy na bahati zinahusika sana kwenye hii michezo.
 
๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š
BOOOOOOOOOOOM
The strongest to win &GG
Bolivia league
 
Nakumbuka december 26 hadi jumapili yake kwa mwaka jana niliingiza 4M kwa betting ila timu zilikuwa vizuri kuanzia Italy, EPL kina Everton na Spurs na man u walikuwa wanatoa sana magoli ukiangalia hadi league 1 mambo yalikuwa mazuri unampa Leeds unasubiria kwa wakala hapohapo ila mwaka huu sijui. Naangalia ratiba ya ligi mbalimbali hiyo december 26 zimekaa vibaya ingawa siyo sana ila sitarajii kuingiza hela kama mwaka jana...Daah yan betting huwa nategemea sana kuwa kuleleni msimu kama huu.
 
Jiwe kabana kila sekta [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza kwenye kamari...bado wengi tunabeti kwa mazoea..tunaangalia sana timu kubwa na kuzipa ushindi wa moja kwa moja..na kwa kulijua hilo kampuni hizi wanafanya wanayayoyajua mpaka matokeo yanakuja tofauti na matarajio..kuna mchezo mchafu sana unaendelea nyuma ya pazia..

Game nyingi tunazoangalia tayari matokeo wanayo..ile kuingia uwanjani ni ushahidi tu...yaani kuna wakati nahisi uwanjani kuna watu hatuwaoni kwa macho ya kawaida wanaratibu kila kinachoendelea..anyway mwisho wa siku ni staretegy na bahati zinahusika sana kwenye hii michezo.
mkuu wewe ndio yule mshuza Jr ?
 
Back
Top Bottom