Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,784
Siku ya j1nlicheza direct win katika mikeka 3 nkapata mmoja
Jana nlicheza mikeka mitata nkala mmoja wa over 2.5
Cha kufanya badili mbinu na option
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kanji kaondoka na shingapi yakoHakuna betting ya faida.. Utapoteza hela nyingi. Ona totenham Jana kafanyaje.. Man United.. Zaidi ona juventus... Hii biashara faida nikwamhindi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia option ya over 1 in odd kubwa ukifuatila ukikusanya game kadhaa mfuko unatunaWadau Ngoja Niwape Mbinu
Tafuta Line ya safaricom alafu register betika.com alafu zama inplay siku za jumamosi na jumapili zile league kubwa kubwa wana option kama zote hadi matukio ya dakika 1'
Sio kweli hata double chance utalia kwani juventus au Tottenham Jana ilitokea nini...over 1.5 mbona Madrid walitoka 0-0 ..hakuna usalama kokoteUkibet kwa mazoea kila siku utalia, hakuna namna. Tafuta strategy achana na direct win [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo nikupe kazi ya kuchunga mifugo yangu mkuuSio kweli hata double chance utalia kwani juventus au Tottenham Jana ilitokea nini...over 1.5 mbona Madrid walitoka 0-0 ..hakuna usalama kokote
Sent using Jamii Forums mobile app
tumia chrome browserWadau nnimekwama hapa.. Ety captcha me sielewi kila nifanyalo nafail..
No mchakato wa kuunda Bitcoins accountView attachment 1301393
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah pole mkuu....mimi nilishtuka mapema nikaturboJana niliweka team 5 zikatoa 3 za mwanzo zikawa zimebaki team 2 madrid na juve..ikaniletea option ni turbo
Ili nipate 80 ..mimi nikaona madrid na juve hawawezi niangusha..nimeamka sina hel ya supu..nikasema better niwe na turbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Chrome Au Zima Data Saver Na Ad Bloker Kwnye Setting Za Hiyo Opera Min.Wadau nnimekwama hapa.. Ety captcha me sielewi kila nifanyalo nafail..
No mchakato wa kuunda Bitcoins accountView attachment 1301393
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusichokijua wengi wetu ni kwamba siku za J'mosi na J'pili ni siku ambazo "kamati ya roho mbaya" ya kanjibai inatekeleza majukumu yake iliyopewa...wee piga hela zako kwenye betting from J3 to ijumaa lakini ujue hizo siku mbili zilizobaki ni za Kanji kurudisha pesa zake ulizomla wiki nzima...nina uzoefu na ninachokiandika...weekend kwa maana ya J'mosi na J'pili kuna "fitina" nyingi sana zinaendelea nje ya uwanja especial ktk soka ili kum-favor kanji na biashara zake...siku hizi mbili J'mosi na J'pili ndiyo uwa mara nyingi timu kubwa kubwa upata matokeo ya draw au lose dhidi ya vitimu vidogo vidogo tofauti na matarajio ya wakamaria wengi(chunguza utagundua hili) na hivyo kupelekea wakamaria wengi kupoteza pesa zao na kumpa faida kubwa Kanji kwenye biashara zake.....wakamaria tushtuke tuwe makini na hiliNilichojifunza kwenye kamari...bado wengi tunabeti kwa mazoea..tunaangalia sana timu kubwa na kuzipa ushindi wa moja kwa moja..na kwa kulijua hilo kampuni hizi wanafanya wanayayoyajua mpaka matokeo yanakuja tofauti na matarajio..kuna mchezo mchafu sana unaendelea nyuma ya pazia..
Game nyingi tunazoangalia tayari matokeo wanayo..ile kuingia uwanjani ni ushahidi tu...yaani kuna wakati nahisi uwanjani kuna watu hatuwaoni kwa macho ya kawaida wanaratibu kila kinachoendelea..anyway mwisho wa siku ni staretegy na bahati zinahusika sana kwenye hii michezo.
Hellow