R Madrid ht x ft win madrid
Girona kenge kwelikweli 1x imewashinda wamepindua treni tena kipande cha mwisho behewa moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usirudie tena kumuweka huyo mpuuzi, na kuna mwingine anaitwa Frankfut weka mbali kabisa...Mamaeee Jana tena niliweka treni la team 20 akachana yule yule m$enge mmoja leverkusen alie nichaniaga lile treni la week iliyopita naweka over 1.5 anatoa under mamaakee zake weka under sasa ucheki kinachotokea kama sio 4-4
Pamoja sana mpambano uendelee jombaa...Wale wa matreni tukutane Next week ila ndani ya hii week nitakuwa nashare malori ya team kumi kumi full stop .
Ukibet kwa mazoea kila siku utalia, hakuna namna. Tafuta strategy achana na direct win [emoji119]Hakuna betting ya faida.. Utapoteza hela nyingi. Ona totenham Jana kafanyaje.. Man United.. Zaidi ona juventus... Hii biashara faida nikwamhindi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app