Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU

***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????

Cc p didy Mayu deep Pond na woteee
Screenshot_20191224-110347.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU

***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????

Cc p didy Mayu deep Pond na woteeeView attachment 1302117

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo ila wengi waongo wanachukua kwenue ma app ya playstore

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU

***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????

Cc p didy Mayu deep Pond na woteeeView attachment 1302117

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 99 ya wauzaji za fixed match ni waongo mi nshapigwa pia Wakenya,Waganda na Wanaigeria sio watu wazuri kabsa...So kwaku hakuna kitu kinaitwa fixed match ndani ya kichwa na muhind huwa akiisi tu kuna dalili za upagwaji wa matokeo huondoa hzo timu chapu sana....Swali dogo tu kama wewe unaweza kununua Kwann muhindi asinunue na yeye ili ajue upangaji wa matokeo ajitoe kwenye vipigo kivali....Tushushe tu mawe ya kubashr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 99 ya wauzaji za fixed match ni waongo mi nshapigwa pia Wakenya,Waganda na Wanaigeria sio watu wazuri kabsa...So kwangu hakuna kitu kinaitwa fixed match ndani ya kichwa na muhind huwa akiisi tu kuna dalili za upagwaji wa matokeo huondoa hzo timu chapu sana....Swali dogo tu kama wewe unaweza kununua Kwann muhindi asinunue na yeye ili ajue upangaji wa matokeo ajitoe kwenye vipigo kivali....Tushushe tu mawe ya kubashr.

Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Kikapu game za leo mbona hawajaziweka kwenye list leo?! Yaanj nimecheki Betpawa,Sportpesa,PariMatch...kote hakuna hata moja!!

Hii kiufundi ndo kusemaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Betpawa wameweka za ligi ya China (CBA). zipo game mbili tu zinachezwa saa nane leo. Nishazifanyia kazi, Shandong Gold lion na Zhejiang Ghuangsha wanashinda leo.
 
Pole sana. Kwa hiyo unaishia kupigwa Mara mbili. Bora lakini timu moja ilitiki na iliyobakia matokeo yake yalikuwa vice versa kuliko ungeona red mbili kabisa.
Jamaa ananunua fixed sema hapo kama angetusua basi angetoa hiyo 45K then aweke faida kidogo iliyobaki. JAMAA ANAHITAJI KUELIMISHWA MAANA BETTING NI BETTING KWA KILA MTU. HAKUNA MWENYE UHAKIKA HADI AUZE. UKITAKA KUJUA BETTING NI BETTING HATA KHANJI ANAYETOA TIPS HUWA ANABANA P ILI MAMBO YAMNYOKEE!
 
Yaani mimi kuna mtu ananishawishi kuniuzia mikeka yenye correct score/fixed matches na zinaanzia Odds 200+
Amenishawishi sana lakini bado roho inagoma. Akituma screenshots za mikeka inaonekana kala kweli,anaweka 20k anakula 4m hadi 6m (milioni).
Ukimwambia kuhusu matapeli naye anakupa somo kweli juu ya matapeli hivyo yeye sio tapeli.

Mpaka nasema kama uoga wangu ndiyo umaskini wangu basi sawa. Zama hizi za Magu ngumu sana!! Lakini je,ni kweli fixed matches zipo au magumashi?! Aje basi mtaalamu wa hizi kazi humu tupate somo ili mtu ukiamua kununua mkeka iwe ni parking at your own risk!
Tusije sema hatukuambiwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom