Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haina kufeli boss
Screenshot_20191225-171520_PARIMATCH.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mmoja kutoka marekani ameingia Bank akaiba mapesa akajaza kwenye bag alafu akaelekea kwa road akarusha juu kisha akasema HAPPY CHRISMASs alafu akaelekea kwa mkahawa akapiga nne akawa anasubiri kuarestiwa
Chanzo cha Habari ni: Bbc swahili
Na raia wenyewe eti wamezikusanya wakazirudisha benki. Maajabu eti watu hawana shida ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PM Bet [emoji459] [emoji91][emoji91][emoji91] Wamenivutia kwa betting options lukuki na wanaweza match kibao sana.

Odds 4+

Mkeka wa Majaribio

MSAADA: Hapo CANCEL BET wanamaana ndiyo CASH OUT?

Adjustments.JPG





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ICE HOCKEY watu wanasema hakuna kamari rahisi nakataa ice hockey hawa jamaa hawajajua jinsi ya kupanga ni hela za bure nimeujua na sasa nafaidi tu nasubiri mtaji upatikane mbona watakoma.....odds za 2.80.....4.70....ni uhakika 100% hebu cheki hii odds 4 mtu anaongoza 5View attachment 1303103View attachment 1303104

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni sahihi kabisa kaka! Unabetia kampuni gani kwa ice hockey maana huu mchezo haupo sehem zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PM Bet [emoji459] [emoji91][emoji91][emoji91] Wamenivutia kwa betting options lukuki na wanaweza match kibao sana.

Odds 4+

Mkeka wa Majaribio

MSAADA: Hapo CANCEL BET wanamaana ndiyo CASH OUT?

View attachment 1303321




Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Promo code ya PmBet ni nini?. Nimejaribu kujisajili siifahamu Promo code.
 
Back
Top Bottom