Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa mmoja kutoka marekani ameingia Bank akaiba mapesa akajaza kwenye bag alafu akaelekea kwa road akarusha juu kisha akasema HAPPY CHRISMASs alafu akaelekea kwa mkahawa akapiga nne akawa anasubiri kuarestiwa
Chanzo cha Habari ni: Bbc swahili
Na raia wenyewe eti wamezikusanya wakazirudisha benki. Maajabu eti watu hawana shida ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PM Bet [emoji459] [emoji91][emoji91][emoji91] Wamenivutia kwa betting options lukuki na wanaweza match kibao sana.

Odds 4+

Mkeka wa Majaribio

MSAADA: Hapo CANCEL BET wanamaana ndiyo CASH OUT?






Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unachosema ni sahihi kabisa kaka! Unabetia kampuni gani kwa ice hockey maana huu mchezo haupo sehem zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Promo code ya PmBet ni nini?. Nimejaribu kujisajili siifahamu Promo code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…