Leo pesa ipo....trust me...
mkuu hii pesa
Ela IPO pia wale Wa odd nyingi weka over 2.5 ela IPO piaTunisia,Algeria,Senegal,Ghana,Nigeria,Cameroon,Egypt,Cote d i voire,Denmark(u21),Mali,Portugal,Brazil,South korea,Japan,U.Arab emirates zote WIN.
Ela IPO pia wale Wa odd nyingi weka over 2.5 ela IPO pia
Leo natandaza mikeka hata mi4 na mmojawapo ni wa under 45 minutes tu kwa timu kama CAMEROON,GHANA,NIGERIA,EGYPT,COTE D I VOIRE,TUNISIA,ALGERIA NA SENEGAL maana odds zao si haba.
Tia neno lolote hapa kiongozi.
Timu za afrika 45 ni ngumu sana alafu Leo wengi wanataka ushindi usishangae draw pia zikawa nyingi timu ndogo zinataka kukaza
Denmark hapo ndio namuogopa sweeden yupo vizuri na Libya yupo vizuri anaweza akafosi drawNimekupata,
twende hapa tena zote WIN.
Poland (2.22)
England (2.40)
Denmark (2.05)
Uruguay (2.35)
Germany(1.61)
Italy (1.55)
Rwanda (1.95)
Congo (1.60)
Denmark hapo ndio namuogopa sweeden yupo vizuri na Libya yupo vizuri anaweza akafosi draw
Inshallaah......
Rwanda kachana......poleeee suka mwingine fasta
Maza fantaro canada sitokusahau
Hahahaha! kiongozi mbona matusi bwana,mimi ni CAMEROON Ndo kama CANADA kwako.