Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu maana ya namba kua hot inakua na maana kwamba hizo ndio namba zinazojirudia mara nyingi ndio maana ake yani haipiti michezo mitano namba ya kwenye hot inakua inaenda
Still something is missing from your view..kinachokua fumbo ni neno analysis kwa namba hizo, hapo fumbo ndy lipo..
Hot namba si hua wanaziweka pale, sasa unatumia vipi tena zile zile ilihal wanaeza geuza?
Bado kuna kitu hakiko wazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Arsenal nae kashapopolewa. Afadhali mikeka yangu yote niliweka < 2.5 hivyo nipo salama kwa hizi timu za Arsenal na Chelsea
Hao waiofungwa wakifanya Comeback second half kama Tottenham alivyofanya itachanika hiyo kaka
 
Hao waiofungwa wakifanya Comeback second half kama Tottenham alivyofanya itachanika hiyo kaka
Nipo salama niliweka < 2.5 Half Time. Nasubiri ya Club Brugge na Leister city hao niliwapa over 1.5 FT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…