Faida za Bet Pawa,
1) Wanakubali stake ndogo minimum TZS 1.00
2) Ukiweka Mkeka unaweza ku share Link na mwenzio akaubetia
3) Bonuses mpaka 250% (odds 2.5) za bure ukifikisha behewa la timu 30
4) Ukiona Mkeka unakaribia kuchanika unaweza kuu bet upya (ila ukishakua lost) huwezi tena)
5) Wanakuonyesha Options zilizobetiwa mara nyingi kukusaidia (Most Popular Bets)
Hasara za Betpawa
1) Hawana Option ya Cash Out
2) Stake zao sio kivile, mpaka uweke Behewa labda
3) Wana mtindo kuficha baadhi ya Mechi
4) Hawana Ligi kama ya hapa Bongo, so sie wadau wa ku Maxbet siku Mnyama Simba Sport Club akicheza tunawakosaga
5) Hawana Option Muhimu kama za Double Bets za Meridian, Mfano 1X&2+, au 1x&2-5, au I1+%II1+, etc