izo ni ishu za mikataba na makampuni husika either wao wawalipie wateja wao deposit charges ama wasilipe
Playmaster wakati ana anza online ilkua pia kudeposit n bure kwa tigo baada ya muda wakaanza makato
hivo hata hao betpawa itafika wakati napo ukiwa una deposit kupitia mtandao kutakua na charges uko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeanza na Lee man ✔
raha ya sportpesa ni kwenye kutoa hela tu wako faster ni hilo tu ila wanapiga sana wakamaria halaf mara nyingi wana odds ndogo compare na wengine, vilevile option zao za kucheza mara nyingi wanabania wakamariaKama sportpesa wanakata sana yan buku 2 150 kanji hatupge na wao watuumize aisee mi ntakomaa n betpawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Boooooooooooooooom✔Putra sinar over 1.5 dk ya 81
Degen bet
Habari za sikuku makanda wenzangu,baada ya kuwa mapumzikoni leo narudi ofisini ramsi kutafuta ada ,kodi na pesa ya mwaka mpya leo nimeona team zimetakata sana ziko pesa ipo
Mkuu naomb unieleweshe hapo kwa penalty or red cardKuna kaupepo kabaya kananipitia
Kila nikishare mkeka una lost
Try at your own risk View attachment 1303852
Isiwepo penalty wala red card
Playmaster