Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu habr aisee nahitaj odd za uhakika. Nitafute kodi ya nymba imekata na nina matatizo wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mkuu naamin hapatashindikana inshaalah
20191225_200410.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana watu wamepiga tungi na kula pilau, magoli yatakua mengi vibaya mno kipa akiwa na hangover tu kamba
 
Back
Top Bottom