Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

► ENGLAND: Vanarama National League North
► 20:45
► Match: Stalybridge - Corby
► Pick: 1/2 (HT/FT)
► Odd: 30.00

hongera sana...kwa ambao hamuelewi...hpo ni kwamba timu ya nyumbani ishindde hadi halftime halafu full time goli linasawazishwa na kuongezwa so wa nyumbani anapoteza mechi.... hongera sana brooo
 
Jamani,naomba kuuliza hivi wanaposema macth ni play offs maana yake nini?
 
Jamani,naomba kuuliza hivi wanaposema macth ni play offs maana yake nini?

Ni mechi ambayo inachezwa ili kupata mshindi baada ya kukamilika michezo yote.
Mfano: Kwenye kundi watu wawili mmefungana kila kitu...inachezwa Playoff na atakeyeshinda ndo champion. Wengine wataongezea maujuzi
 
Ni mechi ambayo inachezwa ili kupata mshindi baada ya kukamilika michezo yote.
Mfano: Kwenye kindi watu wawili mmefungana kila kitu...inachezwa Playoff na atakeyeshinda ndo champion. Wengine wayaongezea maujuzi

Mungu awe nawe kiongozi maana nilukuwa zero kabisa
 
Cracovia Krakow
KKS Lech Poznan
Gremio
Chapecoence vs. Internacional over2.5
Lyngby vs. Vejle both teams to score
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…