Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa wale wenye roho ngumu,
Man c v Liverpool Draw
R madrid v Barca Draw
Sporting cp v Benfica Draw
Juventus v Ac milan Draw
Panathinaikos v Olympiacos Draw
Binafsi SIJAULIPIA KWANI NAONA KM LIVERPOOL ATANIALIBIA VILE
 
Kwa wale wenye roho ngumu,
Man c v Liverpool Draw
R madrid v Barca Draw
Sporting cp v Benfica Draw
Juventus v Ac milan Draw
Panathinaikos v Olympiacos Draw
Binafsi SIJAULIPIA KWANI NAONA KM LIVERPOOL ATANIALIBIA VILE

lolote laweza tokea lakini kuweka draw kwa game zaidi ya 3 ktk mkeka mmoja ni risk sana
 

Ngoja niwe jirani na wewe leo
 
mimi naweka mzigo barca ashinde correct score 1-2...odd 9 meridianbet...
 
Juve win
Real madrid Over1.5
Borrussia M'bach win
Sheffield wed win
Mk Dons YES both teams to score
Leeds YES both teams to score
Hull city win
 
😂😂😂 nina hamu ya kulia hivyo nimeona nojitoe akili kidogo.......siku moja moja kujifanya mwendawazimu sio mbaya!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Attachments

  • 1448105639026.jpg
    48.1 KB · Views: 337
Jamani jamani,kiukweli betting ni ngumu balaa,maana CSKA MOSCOW anakula 2 mtungi tena nyumbani? ahsante Mungu kwa kuniokolea ka 5000 kangu.
 
Jamani jamani,kiukweli betting ni ngumu balaa,maana CSKA MOSCOW anakula 2 mtungi tena nyumbani? ahsante Mungu kwa kuniokolea ka 5000 kangu.

Ashaniulia mkeka wangu ---- huyo amekubali kufa kirahisi sana
 
Wanataka USD sasa sijajua kama nikiweka kiwango cha TSH kitajibadili chenyewe ama, mana nataka kujua kama ni mpaka nikabadilishe hela kwenda dola, msaada mkuu
 
 nina hamu ya kulia hivyo nimeona nojitoe akili kidogo.......siku moja moja kujifanya mwendawazimu sio mbaya!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
schalke mi nampa 1x&2+ ila leo bayern hashindi
 
Kwa wale wenye roho ngumu,
Man c v Liverpool Draw
R madrid v Barca Draw
Sporting cp v Benfica Draw
Juventus v Ac milan Draw
Panathinaikos v Olympiacos Draw
Binafsi SIJAULIPIA KWANI NAONA KM LIVERPOOL ATANIALIBIA VILE
madrid 1x&2+,,panathaikos gg
 
Mikeka yangu ya leo itajikita ktk no redcard&double chances. Baaasi

Mlio fuata idea hii huwenda mkawa mmefuta machoz kidogo
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-21-20-25-33.png
    56.5 KB · Views: 345
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…