Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

pole sana mkuu. Meridian imechoka; imeishiwa pumzi na haiwezi hata kupanda mlima. Kuna wakati huwa wanazidiwa odds na m bet. Mimi nimejiunga na makampuni ya nje kama 5 hivi. Kukwepa uonevu wa kodi 18% ambao makampuni yameamua kukwepa makusudi. Nimejiunga
1) supabets. 2) williamhill. 3) Ladbrokes. 4)bet365. 5) bwin....
Kilichonifanya nifanye hivi ni kufanya odds comparison ambayo ni muhimu sana kwenye hii industry.

Mkuu hebu tuambie unajiungaje na hyo makamupni ya nje na hela unapataje
 
Ngoja nipumzike.... kila siku mechi moja.....

1153758000234 Standard account
------------------------------------------
[16/16]
1437 Nuneaton:Utd of Manch.
Total Goals 2-4 1.53
1447 Brackley Town:Stalybridge Celtic
GG/NG GG 1.53
1449 Corby Town:Harrogate Town
Total Goals 2-4 1.53
1446 Alfreton Town:Boston Utd
GG/NG GG 1.51
1448 Bradford PA:Hednesford Town
Total Goals 2-4 1.53
0028 Solihull Moors:Gloucester
Total Goals 2-4 1.54
1485 Sutton Utd:Havant&W.
Total Goals 2-4 1.54
1473 Chelmsford:Eastbourne Utd
Total Goals 2-4 1.54
1501 Whitehawk:Concord Rangers
Total Goals 2-4 1.54
0828 Dundee Utd:St Johnstone
Total Goals 2-4 1.59
0809 Livingston:Rangers
Total Goals 2-4 1.61
0811 Queen of South:Falkirk
Total Goals 2-4 1.56
0819 Ayr Utd:Airdrie Utd.
Total Goals 2-4 1.58
0820 Brechin:Stenhousemuir
Total Goals 2-4 1.58
0049 Annan Athletic:Arbroath
Total Goals 2-4 1.55
0485 Crotone:Ternana
Total Goals 2-4 1.60
------------------------------------------
Total: 2000.00
------------------------------------------
Min win: 2301277.56
Min tax: 413869.96
Max win: 2301277.56
Max tax: 413869.96
Max payout: 1887407.60
Combination count: 1
------------------------------------------
21-11 07:50:47

ninakupa hongera kiasi.jitahidi kuweka mikaka yako ya namna hii mapema.nitakuwa nagawa katika mafungu tatu tatu tu nikipatia mikeka mitatu nitakuwa nakugawia faida mkuu
 
ninakupa hongera kiasi.jitahidi kuweka mikaka yako ya namna hii mapema.nitakuwa nagawa katika mafungu tatu tatu tu nikipatia mikeka mitatu nitakuwa nakugawia faida mkuu

mkuu me nikiona mtu kauleta mkeka baada ya kushinda au kushindwa nahisi kama mfanyakazi wa meridian vile
 
-Aalborg BK Vs Randers FC H(W/d)

-Crystal Palace Vs Sunderland HOME

- FC Botoşani Vs FC Voluntari H(W/d)

Pandurii T?rgu Jiu Vs Petrolul
Ploieşti HOME

FK Rostov Vs FC Ufa HOME

Cagliari Vs Ascoli HOME

Leo naenda hivi
 
Mkuu hebu tuambie unajiungaje na hyo makamupni ya nje na hela unapataje

www.ladbrokes.com
www.williamhill.com
www.bet365.com
www.bwim.com
www.supabets.com
nb:
Jaribu kupitia post za nyuma za jili kukwaa kuna Elimu nzuri imetolewa mkuu. Hizp juu ni link tu za hayo makampuni...
 
www.ladbrokes.com
www.williamhill.com
www.bet365.com
www.bwim.com
www.supabets.com
nb:
Jaribu kupitia post za nyuma za jili kukwaa kuna Elimu nzuri imetolewa mkuu. Hizp juu ni link tu za hayo makampuni...

Mbavu mbili mimi shida yangu kubwa nimesaidiwa nimefungua A/c ya meridian natumia cm aina ya acer ni android nafungua meridian kawaida ila kitu nachoshindwa nawezaje changanya mkeka maana option nayoiona ni ya kucheza normal tuu mkuu nawezaje pata hiz option nyingine eg 2-4 gg under nk.
 
click kwny timu itakletea option nyngnezo
 
Bravo sana bryn09 nimeiona option yenyew mkuu ubarikiwe Cc mbavu mbili nimeelekezwa tayar boss.
 
Najarib
 
Attachments

  • 1448271459669.jpg
    1448271459669.jpg
    34.6 KB · Views: 272
  • 1448271477584.jpg
    1448271477584.jpg
    30.1 KB · Views: 270
kweli mkuu hiyo timu kenye red imefikisha magoli 2-5 cha ajabu meridian wameniwekea red kuwa magoli hayajafika
 
Hapo vp wadau,
 
Attachments

  • 1448288833088.jpg
    1448288833088.jpg
    34.5 KB · Views: 285
bado kaka hata mail yangu hawajanijibu,sijui nifanyaje na nipo mbali na dar kdgo.hivi hii imisha wahi kumtokea yoyote kweli timu imeshinda ila wao wameweka haijashinda
 
Back
Top Bottom