John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,292
bado kaka hata mail yangu hawajanijibu,sijui nifanyaje na nipo mbali na dar kdgo.hivi hii imisha wahi kumtokea yoyote kweli timu imeshinda ila wao wameweka haijashinda
Mkuu mimi mwaka jana ilinitokea lakini tofauti kidogo na wewe. Kwa upande wangu mimi sikushinda lakini tiketi ilionesha kuwa nimeshinda. Sikuamini macho yangu siku hiyo...basi nikajua ni hitilafu ya mtandao baadae wangechukua pesa yao...kwa hofu mimi nikachukua ile pesa niliyoshinda kama $ 46 nika bet yote baada kama ya kuplace bet kama 3 concecutive nikatoa mkwanja wangu.
Angalia tazama kwenye picha ya ticket hapo utaona Slovan Liberec vs Sigma olomouc...mi nilimpa Liberec ashinde handcap
Hiyo picha ya chini yake ni matokeo ya hiyo mechi.

