Bora tuwe wengi ili tukipigwa tuumie wengi....
Mhh ngoja na mimi niunge mnyororo
Mimi Leo ngoja nijaribu hapa
Uvumilivu tu, tuko pamoja
Man u win
Atletico madrid win
Psg win
Odds 2.25
Lipuaa 50,000 x 2.25= Tsh 112,931/=
Man uu kachana mkekaaa
Mambo naona yanaenda vizuri...
Leo utapandisha mkeka?
Ngoja tuangalie, ila hivi vitimu vya Alhamisi hivi
Bet won
Ingawa Madrid alitaka kunichania mkeka wangu mwishoni