Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Daaah evarton kafanya yake ase ila #teja uko vizur sana bigup!!
 
yup kwenye website yao.

Wakirahisisha njia ya kuwithdraw itakuwa powa sana hawa meridian elfu 70 imewachukua siku ya nne sasa mpaka pesa kunifikia na hapo kwa kuwapigia simu mpaka basi
 
Niko Tait hata kuuotoa huu mkeka nimeshindwa,,, mnaweza mkachangia na akili zako unachukua team 4 hadi sita 11600 inakuja kama m 10
 

Attachments

  • 1448788551394.jpg
    52.9 KB · Views: 343
Ni ushaur tu ili kuwapunguzia Loss KAT YA HIZI TIMU TATU KUBWA MOJAWAPO AU ZOTE AMA MBILI LAZMA ZIWAUMIZE WAZEE WA MIKEKA Dortmund Madrid na Chelsea tukutane baada ya dk90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…