Ibra Mo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 793
- 102
Kuna mkeka wangu wa muda mrefu kufikia jana ukawa umebakiza timu 5 dortmund,cruzeiro,madrid,roma na besiktas kumbe ningeturbo out besiktas na roma wakaharibu ushauri wale wa mikeka ya muda mrefu ni bora tuwe tunaturbo out mapema timu kadhaa zikibali kuliko kusubiri nakukosa kabisa.