Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani,mwenzenu nakuja na wazo jipya wazee nawasilisha kwenu tulidadavue.

Wazo lenyewe ni kuwa,kwa kuwa m bet huweka games za leo na kesho,na kwa kuwa kila siku kuna game za uhakika,basi tuwe tunaunda mkeka mmoja ambao utakuwa na timu za uhakika za leo +timu za uhakika za kesho ijapo zina odds chache lakini timu ni nyingi hivyo weka pesa ya kushiba nina uhakika tutamla mhindi.

Wazo la pili,option inayolipa zaidi baada ya uchunguzi wangu ni OVER.

Karibuni tujadili.

Nielekeze vzr kuhusu hiyo over
 
Mkubwa mkubwa tu mwanzo mwisho man city,Atletico madrid,Ac milan,Torino,Palermo na PSG.
 
Ngoja nijaribu
 

Attachments

  • 1448987001353.jpg
    1448987001353.jpg
    17.4 KB · Views: 334
Back
Top Bottom