Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani,mwenzenu nakuja na wazo jipya wazee nawasilisha kwenu tulidadavue.

Wazo lenyewe ni kuwa,kwa kuwa m bet huweka games za leo na kesho,na kwa kuwa kila siku kuna game za uhakika,basi tuwe tunaunda mkeka mmoja ambao utakuwa na timu za uhakika za leo +timu za uhakika za kesho ijapo zina odds chache lakini timu ni nyingi hivyo weka pesa ya kushiba nina uhakika tutamla mhindi.

Wazo la pili,option inayolipa zaidi baada ya uchunguzi wangu ni OVER.

Karibuni tujadili.

Wazo zuri ila timu kubwa saa ingine zinaaibisha mfano psg jana katuua. Leo liverpool nae anaweza kuliza watu. Dawa ni kutengenganisha mikeka yaan badala kutengeneza mkeka mmoja wa timu 12 una tengeneza mikeka 4 ya timu tatu ili moja ikiharibu isiue mingine
 
n cku nyingne tena wadau nngependa kupata ufafanuzi kutoka kwenu wadau kuhusiana na ligi na option znazotoa kwa sana
je n option gan n nzuri kati ya hz lig
premier league n nzur kwa option gn
bundasliga
serie A
la liga
france
nakadhalika
mchango wenu tafadhali
 
attachment.php


ngoja tujaribu kurudi mzigoni..... ikitokea sare tu nimepigwa
 

Attachments

  • no sare.png
    no sare.png
    6 KB · Views: 760
odds 15 izo
 

Attachments

  • 1449054459752.jpg
    1449054459752.jpg
    30 KB · Views: 272
Wazo zuri ila timu kubwa saa ingine zinaaibisha mfano psg jana katuua. Leo liverpool nae anaweza kuliza watu. Dawa ni kutengenganisha mikeka yaan badala kutengeneza mkeka mmoja wa timu 12 una tengeneza mikeka 4 ya timu tatu ili moja ikiharibu isiue mingine
Huo mtaji wa kutenganisha unao? kumbuka kila mkeka utahitaji hela, na jinsi unavyokuwa na timu chache ndio output ya hela inavyokuwa ndogo, na si lazima ukizitenganisha eti ndio utapata , kila pair yaweza kuingiliwa na kirusi maana kirusi hakijulikani kimejificha wapi, na ukajikuta umepoteza kiwango kikubwa cha fedha vilevile, huu mchezo haueleweki na ukila leo usifikiri unaakili sana na kesho ukitumia njia ulioitumia utapata . This is a game of chance
 
11/11] HII NI EURO BASKET NGOJA NIRUSHE KARATA KWA OVERS ZOTE KATI YA NILIZOZICHAGUA
0426 02-12 19:45:00 G.A.Kosice (W)-ESB Lil
Total Points[125.5] > 1.86
0429 02-12 22:30:00 Bourges (W)-Castors Br
Total Points[128.5] > 1.85
0428 02-12 21:00:00 USK Prague (W)-Uni Gir
Total Points[127.5] > 1.87
0427 02-12 21:00:00 Galatasaray (W)-Halcon
Total Points[126.5] > 1.93
0373 02-12 19:00:00 Khimik-Tartu Rock
Total Points[147.5] > 1.93
0406 02-12 22:00:00 Leiden-Krka
Total Points[142.5] > 1.86
0321 02-12 20:00:00 Aris-UNICS
Total Points[147.5] > 1.89
0329 02-12 21:00:00 Buducnost-Trabzonspor
Total Points[150.5] > 1.90
0341 02-12 22:30:00 Charleroi-Venezia
Total Points[145.5] > 1.90
0317 02-12 20:45:00 Zalgiris-Pinar
Total Points[148.5] > 1.87
0380 02-12 20:30:00 Slask Wroclaw-Gaziante
Total Points[147.5] > 1.86
------------------------------------------
Total: 7780.00
------------------------------------------
Min win: 5000000.00
Min tax: 898599.60
Max win: 8231083.27
Max tax: 1480194.59
Max payout: 6750888.6
 
Real Madrid win HTFT

attachment.php


Odd 2.00
 

Attachments

  • Madrid.png
    Madrid.png
    3.7 KB · Views: 871
Back
Top Bottom