Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimebadili upepo. Nimetoka hivi
 

Attachments

  • 1449070606010.jpg
    1449070606010.jpg
    31.1 KB · Views: 238
Hivi hii "over" unaiweka vipi? na matokeo yake ndio huwaje?

Over na under. Ni kwamba ikiwa over, maanake magoli yawe zaidi ya 2.5. Au tuseme magoli ma3 na kuendelea. Bila kujali nani atashinda. Na ikiwa under magoli ya jumla yasizidi ma2. Bila kujali nani kashinda.

Hii option, ipo. Zipo nyingi, kuna
Normal
Handcap
45 minutes
Both team will score
Over & under
Multiple bet
Hizi kinapatikana kwa m-bet
 
n cku nyingne tena wadau nngependa kupata ufafanuzi kutoka kwenu wadau kuhusiana na ligi na option znazotoa kwa sana
je n option gan n nzuri kati ya hz lig
premier league n nzur kwa option gn
bundasliga
serie A
la liga
france
nakadhalika
mchango wenu tafadhali

France na portigal sana sana huwa zinatoa under ........... poland huwa inatoa GG.
 
Over na under. Ni kwamba ikiwa over, maanake magoli yawe zaidi ya 2.5. Au tuseme magoli ma3 na kuendelea. Bila kujali nani atashinda. Na ikiwa under magoli ya jumla yasizidi ma2. Bila kujali nani kashinda.

Hii option, ipo. Zipo nyingi, kuna
Normal
Handcap
45 minutes
Both team will score
Over & under
Multiple bet
Hizi kinapatikana kwa m-bet

poa mkuu
 
Jamani wadau liverpool vp nimuweke au nimpotezee?maana nataka nimpe ushindi wa mojakwamoja.ushauri pls
 
Kitambo sana sijatembelea humu ndani, nimechoka kupoteza mikeka, sasa naahidi kurudi rasmi kuanzia kesho.
 
Wakuu,hivi kuna mkeka wangu niliutengeneza jana nikalipia lakini nacheki kwa sasa still umeandikwa pending payment,halafu nimeula,hapo inakuwaje wakubwa?
 
Back
Top Bottom