Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 147
Oya wekeni namba za simu niwaunge kwenye group la WhatsApp la betting. Kwa wale ambao wapo willing
Mechi za leo ni ngumu wajameni,ebu kidogo tuziangazie macho.
1.GENT vs ZENIT
Gent ana point 7 mpaka sasa wakati Zenit ana point 15,hivyo Zenit mech hii haina umuhimu kwake labda kwa GENT,mbaya zaidi GENT anapumuliwa na VALENCIA ambaye leo ni uhakika anamfunga LYON na kufikia point 8.
SWALI KWETU je, GENT atamfunga ZENIT?
2.OLYMPIACOS VS ARSENAL
Kundi B.Munich ameshafuzu.
Olympiacos ana point 9 wakati ARSENAL ana 6,Ni mechi muhimu kwa kila upande ili afuzu,draw yoyote ni kicheko kwa OLYMPIACOS na ikumbuku ARSENAL alifungwa akiwa nyumbani na huyu mkubwa.
SWALI.NANI AINGIZWE KWENYE MKEKA?
3.B.LEVERKUSEN VS BARCELONA
Kundi hili la E,BARCELONA ameshafuzu na mechi hii si ya muhimu kwao na yawezekana kisipangwe kikosi cha kwanza
B.LEVERKUSEN analazimika kushinda ili afikishe point 8 kwani atampiku kwg GD mzee mzima ROMA mwenye point 8 baada ya kumfunga hii leo mchovu BATE BORISOV kwa magoli liduchu kati ya 6 anayopaswa.
TUUNDE MKEKA KWA USHIRIKIANO[/Q
Mechi za leo ni ngumu wajameni,ebu kidogo tuziangazie macho.
1.GENT vs ZENIT
Gent ana point 7 mpaka sasa wakati Zenit ana point 15,hivyo Zenit mech hii haina umuhimu kwake labda kwa GENT,mbaya zaidi GENT anapumuliwa na VALENCIA ambaye leo ni uhakika anamfunga MACCABI TEL AVIV na kufikia point 8.

TUUNDE MKEKA KWA USHIRIKIANO
ngoja nikwambie kitu achana na habari kuwa timu ishafuzu hakuna habari ya kudharau mechi,
ipo hivi droo ya 16 bora washindi wa kwanza wa kwenye makundi wanapangwa na washindi wa pili wa makundi mengine kwahiyo kukubali kuwa mshindi wa pili ni kukubali kupangwa na timu kama madrid,barcelona au bayern 16 bora ndomana umeona jana madrid kamtia mtu 8 ili aongoze kundi
Oya wekeni namba za simu niwaunge kwenye group la WhatsApp la betting. Kwa wale ambao wapo willing
ngoja tuone
huu mkeka nimeulewa sn