Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jukwaa linaharibiwa na minamba ya Whatsap.
Ningekuwa na uwezo unayapiga BAN za kutosha.
Ladha ya kupita hapa imepotea kabisa. Sio dhambi kutengeneza group za Whatsap, but minamba yenu msiiweke hovyohovyo hapa. Ingia inbox kisha tupia Huko minamba yako.
Nasikitika sana tabia za Kifesibuku zimevamia jukwaa letu bora...
Imenibidi kusema.
 
Jaman nikitaka kudowload mkeka kwa meridian nafanyaje maana hawa jamaa nimebeti mimeshinda alaf hawatuma mpunga
 
Duuu nimeingia kwa account yangu but cjaona optoin ya nensa tickets au nimebugh mkuu?
 
Duuu nimeingia kwa account yangu but cjaona optoin ya nensa tickets au nimebugh mkuu?

nenda mkuu hizi auto collection zina mambo...unapokua unaweka mkeka ki receipt kina onyesha cash bonus na tickets unaingia apo kweny tickets
 
Jukwaa linaharibiwa na minamba ya Whatsap.
Ningekuwa na uwezo unayapiga BAN za kutosha.
Ladha ya kupita hapa imepotea kabisa. Sio dhambi kutengeneza group za Whatsap, but minamba yenu msiiweke hovyohovyo hapa. Ingia inbox kisha tupia Huko minamba yako.
Nasikitika sana tabia za Kifesibuku zimevamia jukwaa letu bora...
Imenibidi kusema.

Mim nawasemaga
Nadeal nao hapo hapo
Kama mtu utanichukia ntakusema mpaka uache ufacebook.
Nakumbuka man naingia hapa nakaribishwa hapa kulikuw kwa kistaharabu kweli. Hebu kwa haraka haraka fikiria wanzetu kama Root,cute b mwanzisha uzi Rockcity native Raimundo hawaonekan tena tena hao nimewataja kwa uchache.
Kiufupi hawa madogo wametuharibia uzi wetu pendwa, hima tuu kwao hebu waachane na ishu za whatsapp maan zimefifisha hari za wakongwe hapa. NB kama waanzilishi wangekuw wanawaza whtsapp huu uzi tusingeukuta unaendelea had sasa.
 
May be sim yangu haina option ya kudowload...nimeingia mpka kwenye tickets..nimekuta option za prev,,,,next,,,close na turbo payout...option ya kupakua haipo
 
Noma na iwe , ila arsenal nimeipa kwa mapenzi yang binafsi odds 10
 

Attachments

  • 1449675461226.jpg
    1449675461226.jpg
    36.1 KB · Views: 328
Noma na iwe , ila arsenal nimeipa kwa mapenzi yang binafsi odds 10

aisee ukibet kwa kwa mahaba unakuwa huangalii hali halisi ..jana nimempa man u uku nikijuwa kabisa hawezi shinda ila kwa mahabaa tu nikampa !... Alichonifanya daaah
 
aisee ukibet kwa kwa mahaba unakuwa huangalii hali halisi ..jana nimempa man u uku nikijuwa kabisa hawezi shinda ila kwa mahabaa tu nikampa !... Alichonifanya daaah

Daaaah mimi jana nilimuua man u na nikampa psv na psg kwa twenty ndo nikapa ta kiburi cha kuweka faida yote leo nijaribu pia ,, ila kama akiniua basi
 
Back
Top Bottom