Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game za jana zote Uefa NO RED CARD cjui leo, lets try
 
Both team to score.
 

Attachments

  • 1449682871580.jpg
    1449682871580.jpg
    27.6 KB · Views: 228
nimejaribu kucheza home team goals kwakuzipa 1+ kiukweli nimeiona ni option inayokubali sana kama mtu unataka kuweka mzigo cheza hii tafuta game zako 5 zenye odd kati ya 1.25 hadi 1.3 tia mzigo utarudi hapa kunishukuru.
 
Leo muhindi lazima apate loss!
Bayern win
Chelsea lose
Natia msimbaz
 
Acha ushabiki kwenye betting kisa team lako limetolewa uefa et unataka na chelsea atoke hatukubali tumempa tu
 
Jamani eeeh geukieni na option ya no redcard japo ina odds ndogo ila hizo hizo tunatumia kumkimbiza mhundi kimya kimya. Msikariri njia moja tu ya final score
 
Back
Top Bottom