Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

corners ynder kwa barca naona kma inatoa wale majamaa kwa possession sioni corners nyng sana

mkuu hii option ya coner natakaga kuicheza ila cjuagi under ni corner ngapi, over ni corner ngapi?! pia yellow card over na under, over ni ngap na under ni ngapi?! ..............
 
Iyo option ya noredcard ipo kampuni gan mkuu

www.meridianbet.co.tz
Kazi ni kwako pia ipo ya no penalty japo hii ni risk zaid ya ile ya no redcard mi namchapa sana kupitia hii opt ambayo watu wengi wameipa kisogo japo nikipigwaga napigwa kweli kweli
Ila nikimpiga nampiga kweli kweli pia nilianzaga na elfu 25 naweka timu zote nane inakuja kama 75elf sasa mtaji umekua kidogo naenda na 100000/= kwa timu zote nane

Coz no red card hainaga uchambuzi ni bahati tu na unakuta timu zoge nane zinatoa bila redcard labda wazee wa kufix mambo waingilie kati
 
Duh jamani hii kali team imenikosesha kilo8 ilikua ina point 1.22 imepigwa na yenye odd ya 12,angalieni io pic.Ili pigo kweli
 

Attachments

  • 1449727732061.jpg
    1449727732061.jpg
    32.3 KB · Views: 241
Jamani eeeh geukieni na option ya no redcard japo ina odds ndogo ila hizo hizo tunatumia kumkimbiza mhundi kimya kimya. Msikariri njia moja tu ya final score

Mkuu mboba hio option siion?
 
mkuu hii option ya coner natakaga kuicheza ila cjuagi under ni corner ngapi, over ni corner ngapi?! pia yellow card over na under, over ni ngap na under ni ngapi?! ..............[/QUOTE
kuna kiqango wnaweka wao wew ni kuxhagua itakua over/under..mfano utakuta wameweka h 5 kwsnye corners so utachagua wew unaonaje nahisi nmeeleweka
 
Jamani eeeh geukieni na option ya no redcard japo ina odds ndogo ila hizo hizo tunatumia kumkimbiza mhundi kimya kimya. Msikariri njia moja tu ya final score

mkuu mimi nina mwezi sasa natembea na hii option na imenilipa kusema ukweli.kimya kimya.japo si mechi nyingi zina hii option.
 
[TABLE="class: table, width: 721"]
[TR]
[TD]Fc Sion - Liverpool[/TD]
[TD]3.21[/TD]
[TD]Draw[/TD]
[TD]Dec 10, 2015 - 9:00 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]St Etienne - Lazio[/TD]
[TD]3.05[/TD]
[TD]Draw[/TD]
[TD]Dec 10, 2015 - 11:05 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plzen - Villarreal[/TD]
[TD]2.22[/TD]
[TD]Plzen Lose[/TD]
[TD]Dec 10, 2015 - 9:00 pm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mechi nyin za Europa mechi zilizopita zilitoa sana 0-3 leo ngoja nijarib tena
 
Daah nlikuwa cjaona kumbe mech za jana UEFA zote nazo zilitoa 0-3
 
Back
Top Bottom