Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa euro 150

Mkuu hujaeleweka haya chembe. Unauza we we?
pili kuna strategy ya kuwaaminisha watu. Weka tiketi moja hapa..kama offer watu wafuate ...Utaaminika tu.
Site zipo nyingi sana and nafanya hayo mambo. Wengine ni matapeli mkuu.
 
Everton v Leicester
HT/FT
(2-1)

utasikia hii mechi inauzwa,utumbo mtupu. Sisi tunachofanya ni kuchambua hizi mechi...
wakuu Leo Mimi nitatoka hivi
Avelino win
Crotone win
Tottenham win
 
Hapa tuna share mawazo sasa kama unauza upo wrong thread au nenda kwa magroup yenu ya watsap..khaa

Eti anauza odd!!kwanini asiende kwenye saccos akakope abetie hizo odd aone watakavyo mfilisi humu hututaki matapeli na betting haina guarantee usitake ingiza watu choo cha kike.
 
Wenzetu mataifa mbalimbali wana nunua odds hadi 900

Yani kanji anilee..we tena uniuzie odd??daah umekosea njia brooo..

Hapa hua tunashare kila mtu anaona waziwazi...akipenda anafuata mkeka akiona haifai anaacha...

Hapa hatununui odds kabisaa!!
 
Chelsea, man utd, valencia,Bayern 04 Leverkusen

Wote hao wape 2+ 0dds kama 8.

Tukutane SAA mbili
 
Naombeni mnijuze mnabet vp..napenda sana lkn sijapata mwongozo au ni application gani nzuri ya kubet na ntaipataje
 
Everton gg,newcastle win,burnley win,stoke win na brescia win.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…