Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa majizi washenzi sana ukifungua ticket kama ulicheza on line haionyeshi ile amount uliyotakiwa ushinde kinachoonekana ni kile kiasi ulichocheza so tuliomcheza GO AHEAD tushadhulumiwa watarudisha tu kile kiasi tulichocheza.
 
ROCKCITY NATIVE alishasema haya
 
Hawa majizi washenzi sana ukifungua ticket kama ulicheza on line haionyeshi ile amount uliyotakiwa ushinde kinachoonekana ni kile kiasi ulichocheza so tuliomcheza GO AHEAD tushadhulumiwa watarudisha tu kile kiasi tulichocheza.

sure mkeka wangu wa laki 9 umeyeyuka sasa si wangetoa iyo game moja zingine wangeacha
 
Attachments

  • 1450433737231.jpg
    1450433737231.jpg
    40.7 KB · Views: 202
sure mkeka wangu wa laki 9 umeyeyuka sasa si wangetoa iyo game moja zingine wangeacha

Inauma sana ila kwa wewe ile pesa ni ndefu sana em jaribu kupitia terms and condition zao kama wana mandate yakufanya ivyo kama hawana iwapo utashinda pigania haki yako.
 
Kaka kama ulishaulipia utalipwa lakini hiyo odd haitakuwemo kama vile mechi imehairishwa
 
Ndo kumaanisha ule uchafu wa Feyenoord umesafishwa na Go Ahead Eagles kwa kuturudishia tuliyolipia?
 
nimeongea nao wanajifanya kusema kwamba kuna matatizo kwenye system yao leo so wanarekebisha tatizo then watatujulisha
 
Siyo kujulisha,ishu mtu amekula,basi apewe chake,hii ni biashara bwana maana tukipigwaga huwa tunaula blue,iweje wao waseme kuna makosa ya mtandao anapoona anapigwa yeye?

It is not fair kiukweli,ijapo wangu mkubwa alishanichania ----- FEYENOORD,bado hanifungi mdomo kuwalaumu kwa uhuni wanaoufanya
 
kuna point 14 zimekubali basi wanilipe izo iyo nyingine waweke point 1ila ngoja niwasikilizie mana bado hawajanirudisha hela
 
Tunatatizo la kiufundi na tutaludisha fedha ya tiketi yako kama unaweza bet tena . Pole kwa usumbufu. M-Bet
 
ngoja tuone
 
Attachments

  • 1450438888745.jpg
    1450438888745.jpg
    31.8 KB · Views: 281
Back
Top Bottom