MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Nimeifuatilia sana hii fixture na kugundua lifuatalo.
Hapa kuna regelation battle. Go ahead hayuko kwenye hatari ya kushuka daraja ile hali huyo mpinzani wake anatakiwa asipoteze hii game.
Nimecheza...nilimpa Nancy, Lazio na Go Ahead...nasubiri muujuza
Mbona naona league bado ni msimu wa kwanza japo ndo unaelekea mwishoni,tusubiri tuone