Let's try.....
baca wakipanga kikosi cha tisa, inakuaje?!
baca wakipanga kikosi cha tisa, inakuaje?!
Nishaona kikosi chao nimeharisha kubeti wamepanga kikosi cha 10 😀😀😀
wakuu kuna odds 8.40 za mbet za bure wamejichanganya game ya GO AHEAD EAGLES V. FORTUNA SITTARD
Mtu anasubiria mpunga wake
Mpe pole sana mkuu naona elfu hamsini imepotea kaka ft barca 3 daa goli moja tu jamaa kakosa mpunga
wakuu kuna odds 8.40 za mbet za bure wamejichanganya game ya GO AHEAD EAGLES V. FORTUNA SITTARD
jamaa watabadilisha tu we ngoja ifike kesho asubuh watatoa tangazo hiyo game itakua odds 1.0 ..... Ishatokea mwaka jana kitu kama hicho
jamaa watabadilisha tu we ngoja ifike kesho asubuh watatoa tangazo hiyo game itakua odds 1.0 ..... Ishatokea mwaka jana kitu kama hicho
Kwa mfano wakibadilisha itakuaje kwa sisi ambao tushatoa mkeka tayari?
ikitokea wakabadili game inakua kama imefutwa... Hii kitu kama sikosei mwaka jana ktk champions leagua ilitokea juve alikua home anacheza na tim moja kibonde akapewa odds 3 tena akapewa na goli.... Kuamka asubuhi mdosi akachange gia angani
Hivi wazee, mtu c unaweza ishi kwa kubet tu