Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Naiona sare kwa mbaaaali ya Middle
Mimi nataka kucheza both teams to score!
Naiona sare kwa mbaaaali ya Middle
Mimi nataka kucheza both teams to score!
Cardiff
Middlesbrough
Birmingham city
TIA HELA HAPO
Derby
Ipswich
Brighton&Hove albion.
TIA HELA HAPO
Cc mbavu mbili, mr man city........na wengine
Na saasaa natoa tamkoo sasaaa!!!!
Mpuuzii mmojaaa,,mjingaa mmojaa,,asiefaa mmojaa ,,anaitwaa MONACOO ambaee juzijuzi alishindaa ila janaa kwa sababu ya kulaa chakulaa chakee akacheza hovyoohovyoo....
sijui alikula maharage ya wapii yulee??!!! Timu zinginee zoote zimechezaa vizuri na zimeshindaa lakini yeye akabwayabwaya ,,akalewalewaa akatoa Droo...Namuita mjingaa yulee,,hafaii yulee,,,sjui karogwa na nani yulee??... Haiwezekani aje kinyumee na mkeka mzimaaa,,,!!
Nilikuaa namuamini mimi ..sasaaa simuamini tenaaaa!!...na ninamtangaziaa hilii..na kila mtia mzigo mwenye akili timamu awee wa Meridian,,awe wa Primier betting,,awe wa M-bet Usimuaminii Monaco kwa sababu kajishushiaa heshima mwenyeweee..!!Timu zinginee zoote ikiwemo Atletico madrid,ikiwemo Braga,,ikiwemo Sevilla,,ikiwemo MK dons,,ikiwemo Shefield Utd woote wamecheza vizuri na wameshindaa...
Agghhrr!!! Muheshmiwa Monaco ,,pokeaa ujumbe wangu leoo..hufai kabisaaa na kama ingewezekanaungeshuka daraja kabisaa maaana Umenichaniaa Jamvi languu,,Hufaii monaco,,ondoka monaco,,kalaleee monaco,,huu ni wakatii wa KUBETIIIIIIIIII NA KUSHINDAAAAAAA!!!!!!:bange::bange::bange: wiiwiiiiii,,,wiwiiiii,,wiii..!!!!!!
Kama ww ni monaco kaiambiee Umebabuliwa kule Jf..,,basi kama yanakuuzi hayo kashitaki kwa Kanjibai,,Lakini mimi nasema hufaai,,inawezekana umefilisika,,inawezekana umekwishaa,,inawezekana umezeeka,, Umeaibisha Ligi ya Ufaransa; Psg; monaco anawaaaibisha,,Marseille; Monacoo anawaaibisha,,Lyon; monaco anawaaibisha MONACOO umeaibishaaaaaa!!!! Umekua kama Timu ndogo ilioshuka daraja isiojua la kufanyaa.. uuhhh..uhhh..uhhh..
Baaasii sasa,,,ujumbe umefika sasaaa,,roho imeuliaa sasaa..sasa tunaweza kubett tena leo sasaaa nimempa vidonge vyake sasa!!nimempa shilingi zakee sasaa!!!!Nimeona kuendeleaa kubett leo huku nimemkopesha haifai!!nimemlipa cash!!sio kwa installment,, Na Wazee wa kutia mzigo wataendeleaa kunawirii!!
Wabarikiwe Atltc madrid walioshindaa,wabarikiwe Mk dons walioshindaa,,wabarikiwe Sevilla walioshinda.,, Akapate Matatizo Monaco aliedroo jana... Namuamuru Porto aliepangwa nae robo fainali uefa akampige kipigoo!!arudi kwenye mstari kama zamanii
Eweee monacooooo ulieninyima ela ndefuu,,,,,, ni naniii aliekurogaaaaa????????:A S confused::A S confused::A S confused:???
Bodox-Monaco,hapa kete wapi jmn?
Both team to score/GG
Hiyo option najua itatema,ila nipo m bet tu ambako hakuna hiyo option,so nafikiria nimpe BODOX maana kwenye H2H yupo vzr mno
M-Bet hii option ipo kijana au mbet ipi
M-Bet hii option ipo kijana au mbet ipi
Duh,nilikuwa out kabisa mzee,pengine mazoea hujenga tabia kwani sikuwahi kuitumia kabisa hii.
Tujikumbushe
Both team to score/GG
vip hapo wadau.....gent...win clubbruge...win genk...win napoli...win juventus...win fiorentina...win marseille...win sporting cp...win
Mtu anasubiria mpunga wake hapo