Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wasalaam! Shida Yangu Kubwa Naombwa Kuelekezwa Namna Ya Kubet Online! Iwe Meridian, M-bet, Ladbrokers, Etc! Kisimu Ninachotumia Ni Tecno Y3. Ni Hilo Tu Wakuu! Nawasilisha.
 
Sikuomba Msaada Wa Ushauri Tafadhali, Niliomba Msaada Wa Namna Ya Kubet Online. Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Uwepo Wako Karibu Na Mimi, Naamini Nexttime Utanisaidia Vile Nataka! Jpili Njema!
 
Jamani,mbona jukwaa linaelekea kufa? hamna wachangiaji kabisa,au ndo wote tuseme mafuriko ya whatsapp ndo yamewasomba? inauma kuona hali hii.

Anyway,mwenzenu najilipua huku leo
NANCY-VALENCINNES,NANCY win (odd 1.46)

NOVARA vs TRAPANI,NOVARA win (odd 1.73)

LEICESTER CITY vs CHELSEA,LEICESTER win (odd 2.72)
 
Wakuu namba ya biashara ya meridian kwa tigo ni ipi tafadhali kwa anayeijua pls msaada kwenye tuta hapa
 
Wakuu namba ya biashara ya meridian kwa tigo ni ipi tafadhali kwa anayeijua pls msaada kwenye tuta hapa
Tigo hawana ubia na Meridian mkuu. Only Voda.
Labda kama imeanza karibuni.
170066 ni meridian kwa wanaotumia voda
 
Daaah nilikuwa nimefungiwa na Ladbrokes kama wiki 3 hivi. Nimehangaika nao hatimaye Leo wamenitoa kifungoni.

Leicester v Chelsea. GG
Blackburn v Not GG
Besiktas v Galatasaray GG....
Hivyo tu...yani
 
Daaah nilikuwa nimefungiwa na Ladbrokes kama wiki 3 hivi. Nimehangaika nao hatimaye Leo wamenitoa kifungoni.

Leicester v Chelsea. GG
Blackburn v Not GG
Besiktas v Galatasaray GG....
Hivyo tu...yani

Afadhali taratibu mnaanza kurejea jamvini,tuliwamisi sana
 
Lazio win (1.51)
Chelsea win (2.29) hapo kuna point 3 na mazaga mazaga
Nimetia buku tano imetoka kumi na saba elfu inanitosha Jr
 
Leo niko kivingine... Naomba mtu anaejua namna ya kupata uwakala wa premier betting anifafanulie.
 
Back
Top Bottom