Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani kuna kesi moja hapa,yaani FULL TIME Feyernood 1: 1 Willem wakati EXTRA TIME Feyenood 2:1 Willem

Je,hapo maana yake nini?,mkeka utakuwa umekula au umechanika?
 
Hapo umepigwa mkuu wanahesabu dakika90 na za majeruhi yaam zile wanazoongeza 3 au 5 hzo 30 walizoongeza hapo ni extra time
 
Jamani kuna kesi moja hapa,yaani FULL TIME Feyernood 1: 1 Willem wakati EXTRA TIME Feyenood 2:1 Willem

Je,hapo maana yake nini?,mkeka utakuwa umekula au umechanika?

Umekufa ama umechanika huo. Cm yangu haifai kuattach picture hapa ila machungu nlio nayo hapa imebidi niamkie konyagi Cc mr man city, mbavu mbili njooni mnipooze.

Feyernoord kanichania mkeka
Wa 17000..18500..75000...87500...598000.:😕😕:beer::beer::beer:
 
Duh,pole bwana,ndo biashara hii ninapoionaga ngumu,labda MATEE naona mkeka wake umetiki mpaka sasa kwa 90% akisubiri mechi mbili tu za leo,ila naye macho yake sijui yalimuingia mchanga maana kamuamini UNION BERLIN wakati rekodi yake ni ya hovyo mno dhidi ya mpinzani wake.

Ila sitakusahau FEYENOORD maana hufai mara 1000
 
Leo kama utacheza mkeka usikae mbali na hizo timu.
 
Attachments

  • 1450416268822.jpg
    1450416268822.jpg
    37.4 KB · Views: 214
Duh,pole bwana,ndo biashara hii ninapoionaga ngumu,labda MATEE naona mkeka wake umetiki mpaka sasa kwa 90% akisubiri mechi mbili tu za leo,ila naye macho yake sijui yalimuingia mchanga maana kamuamini UNION BERLIN wakati rekodi yake ni ya hovyo mno dhidi ya mpinzani wake.

Ila sitakusahau FEYENOORD maana hufai mara 1000

ila kapewa point ya ushindi 1.89.ila tayari hela ninayo ya mech za jana
 
Attachments

  • 1450416837561.jpg
    1450416837561.jpg
    38.8 KB · Views: 193
Duh,pole bwana,ndo biashara hii ninapoionaga ngumu,labda MATEE naona mkeka wake umetiki mpaka sasa kwa 90% akisubiri mechi mbili tu za leo,ila naye macho yake sijui yalimuingia mchanga maana kamuamini UNION BERLIN wakati rekodi yake ni ya hovyo mno dhidi ya mpinzani wake.

Ila sitakusahau FEYENOORD maana hufai mara 1000

ni mara chache sana naangalia record ila kikubwa ni point aliyopewa je ni ya ushindi au ya kufa.ukiifatilia 1.89 nyumbani mara nyingi sana inatoa
 
huyu go ahed mbona amepew point kubw leo...
 
ni mara chache sana naangalia record ila kikubwa ni point aliyopewa je ni ya ushindi au ya kufa.ukiifatilia 1.89 nyumbani mara nyingi sana inatoa

Nina kila sababu ya kujua mbinu unazozitumia,maana ni mara nyingi sasa nimeona mikeka yako inakula mno.Ni imani yangu wengi wetu tunabet kwa kuchimbua reckod hlf tunadondokea pua.Ebu tupe siri yako ya mafanikio bwana.
 
kuna point uwaga zikitolewa ni hela tu mfano 2.01 ugenin uwaga ni hela ndo alipewa nancy jana kashinda
 
Mmh,we ni zaidi ya noma.Naomba unitoe tongotongo hapa.

1.A.Sasa kama kigezo chako ni kuangalia point,je, ni point zipi za nyumbani hulipa? na za ugenini je?

B.Point zipi za nyumbani na ugenini ni hatari/huchana mikeka?

2.Mechi ya leo ya GO AHEAD EAGLES amepewa point 8.40,umetumia kigezo gani kuiweka kwenyd mkeka?

MAJIBU YAKO NATUMAI YATAKUWA NI MSAADA KWA WENGI
 
iyo point mhindi kaikosea ukifatilia fixture za betting nyingine utaona iyo point kapewa wa ugenin kwa mfano hiyo hapo chini fixture ya primier betting
 
Jamani kuna kesi moja hapa,yaani FULL TIME Feyernood 1: 1 Willem wakati EXTRA TIME Feyenood 2:1 Willem

Je,hapo maana yake nini?,mkeka utakuwa umekula au umechanika?

Chana huo mkeka mkuu.
Gambling ina deal na dakika 90 tu.
Feyenood alipata share ya 1-1...
wakaenda Xtra time.
 
iyo point mhindi kaikosea ukifatilia fixture za betting nyingine utaona iyo point kapewa wa ugenin kwa mfano hiyo hapo chini fixture ya primier betting

Nimeifuatilia sana hii fixture na kugundua lifuatalo.
Hapa kuna regelation battle. Go ahead hayuko kwenye hatari ya kushuka daraja ile hali huyo mpinzani wake anatakiwa asipoteze hii game.
Nimecheza...nilimpa Nancy, Lazio na Go Ahead...nasubiri muujuza
 
Back
Top Bottom