Hatubishi isipokuwa approach uliyokuja Nayo haikuwa na weledi.Huyo alinifwata whatsapp usiku nikampa odd hizo wanao bisha kuuzwa kwa odd umulize huyo atawaeleza matoke hayo
Kwa mfano euro 80 gawa kwa idadi ya walio changa tunatumiana kwa njia ya whatsapp
Huyo alinifwata whatsapp usiku nikampa odd hizo wanao bisha kuuzwa kwa odd umulize huyo atawaeleza matoke hayo
Hatubishi isipokuwa approach uliyokuja Nayo haikuwa na weledi.
Ulipasswa kutoa wasifu wako na aina ya biashara unayoifanya. Faida na hasara zake. Odds zinauzwa ingawa kibongobongo sio kitu maarufu sana. Ulipaswa kuna na promotion kwanza ili kujenga imani kwa wadau. Jipange ndugu unachofanya sio dhambi
forebet iko vizuri mkuuJamn nlikuwa natafuta kuhus jins ya kupata atleast headstart kwenye masuala ya kubet, kibonfo hy ela ni nyingii ukizongatia wabongo wengi tunabet kuanzia buku 5 mpka lbda 50000 kwa hy nashaur nendeni kwenye playstore zenu type bet tips zitakuja options nyingi install na wao wanatabiri ni timu gani zitashinda japokuwa si mara zote wanapatia ila lakin insaidia, kama jana karibia wote walijua athletico angeshinda ila akapgwa hamna m2 ambaye angeweza kutabiri hilo
Mie bado sana aiseh kwenye kuuziwa odds haitatokea naona baadhi ya wadau wa humu wanaelekea kushawishika.
Hawa besktas wtaniua kwa presha na hawa maccabi npate hta ela ya kula
game ya al ahly ipo kweli wadau siion ikichezw