Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi sio muuza odds bali wapo wanauza bei tofauti tofauti wengine odd 7 wanauza euro 30 wenginge odds 200_240 kwa euro 80 kwahiyo nimetoa wazo kwamba tuchange kisha tunanunua
pesa ina tumwa kwa western union kisha tunatumiwa odds siku hiyo
 
Kwa mfano euro 80 gawa kwa idadi ya walio changa tunatumiana kwa njia ya whatsapp
 
Huyo alinifwata whatsapp usiku nikampa odd hizo wanao bisha kuuzwa kwa odd umulize huyo atawaeleza matoke hayo
Hatubishi isipokuwa approach uliyokuja Nayo haikuwa na weledi.
Ulipasswa kutoa wasifu wako na aina ya biashara unayoifanya. Faida na hasara zake. Odds zinauzwa ingawa kibongobongo sio kitu maarufu sana. Ulipaswa kuna na promotion kwanza ili kujenga imani kwa wadau. Jipange ndugu unachofanya sio dhambi
 
Huyo alinifwata whatsapp usiku nikampa odd hizo wanao bisha kuuzwa kwa odd umulize huyo atawaeleza matoke hayo

Mkuu inabidi utujengee imani kwanza, kutoa pesa euro mingi ivyo alafu tena kurisk pesa duh yataka moyo.
 

Mkuu nimesoma maelezo yako hapo. Nimekuelewa..naomba niliyoyasema hapo awali yaondolewe akilini mwako
 
Jamn nlikuwa natafuta kuhus jins ya kupata atleast headstart kwenye masuala ya kubet, kibonfo hy ela ni nyingii ukizongatia wabongo wengi tunabet kuanzia buku 5 mpka lbda 50000 kwa hy nashaur nendeni kwenye playstore zenu type bet tips zitakuja options nyingi install na wao wanatabiri ni timu gani zitashinda japokuwa si mara zote wanapatia ila lakin insaidia, kama jana karibia wote walijua athletico angeshinda ila akapgwa hamna m2 ambaye angeweza kutabiri hilo
 
Jong ajax over 2.5,
Sporting braga win
Perderbom over 1.5
Belenses under 2.5
Besktas win
Atheltic bilbao win
Staeu bechearst win
Aek athens win
 
Ila pia kama anafanya kuchungulia achungulie aweke hata hapa. Kisha tuwke tujenge nguvu ya mtaji ili tuanze kufanya
Angalau biashara.
 
Mie bado sana aiseh kwenye kuuziwa odds haitatokea naona baadhi ya wadau wa humu wanaelekea kushawishika.
 
forebet iko vizuri mkuu
 
Mie bado sana aiseh kwenye kuuziwa odds haitatokea naona baadhi ya wadau wa humu wanaelekea kushawishika.

Zipo sites mkuu.
Google fixed tips.
Lakini haya mambo yanatakiwa kuwa makini sana.Wacha tuendelee kuumiza ndonga
 
ngoja tuone
 

Attachments

  • 1450711136260.jpg
    37.2 KB · Views: 299
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…