Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah na aek aliwekew odd ndog kwel kuonysha kwmb atashnda ila ukiona m2 an od ndog mara 100 uwek magol tu kwmb 3+
 
Nmeona ila sasa kumbe kwene huo mkeka nmeweka katimu ka ajabu kanaitwa athletic kameshapgwa goli moja na kwnye msimam kumbe ni karbia n mwisho huko hako katimu hapa n kuomba Mungu tu
 
Leo meridian wameleta mpaka ligi ya ivory cost na jamaica premier league kweli hawa watu wanatafuta hela si mchezo.
 
Maccab ni zaid ya tatizo hawanip raha hawa vjana goli 2 ztarud kwel na tuongeze jingn moja ama mawil?
 
Ila meridian wnatkiw kjfunz krekebisha mitambo yao, tfaut na hapo wana v2 vzur sana kama hli la kubet wkt match znaendlea safi sana
 
Kweli ninyi wagumu kuelewa ona ticket hii inauzwa euro 80 ukitia shillingi 10000 tu unapata zaidi ya milioni mbili sasa akilizako zinabaki kwenye odds 7
angalia no. Hiyo ya ticket kesho akishinda nita kuonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…