Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna watu wanaitwa scammer wana nunua odds kwa bei kubwa hadi euro 5000 kisha anauza leja leja
 
Kwenye mafanikio vikwazo vipo kuna watu wata kutakukatisha tamaa na wengine wata kucheka mwisho ukishinda hayo unafanikiwa
 
Mkuu mwongofu cheki na pm nimekutumia ujumbe nlikuwa mbal na cm kidogo ndo narud.
 
Wadau hv kama game imekuwa postponed ndo inakuwaj?nardshiw ela hata kama game zngn nmpgwa ama nmekula?
 
Kwenye mafanikio vikwazo vipo kuna watu wata kutakukatisha tamaa na wengine wata kucheka mwisho ukishinda hayo unafanikiwa

Hatimae nimekupata naomba no yako mkubwa ili nipate mawasiliano yako...mie huwa nawatumia megapicks nao wanauza odds sema nlikosa kusonga mbele sababu ya kukosa watu kama wew wa kuthubutu
 
Msiamini sana katika kununua odds,, haya mambo mtapigwa sana hela zenu mtakuja hapa kulia.. Haya mambo tusha yajadili sana ikafika hatua tukawa na conection na watu wa belgium na netherland lakini mambo bado yakawa bilabila.... Anyway akili kumkichwa !!!
 
Mkulu upo? Umepotea sana aisee
 
Mkuu nimekuzika!

Aisee ntakutafuta kabla ya sikukuu hapa.

Biashara hii imekuwa kichaa.

Odds haziuzwi, ngoja watu wapigwe tu.

hahaha poa poa Raimundo... Hawajui kuwa watu mwaka jana tulifanya mikakati hadi tukapiga dili na wale mafia wa kufix match lakini mambo yakawa magum
 
Last edited by a moderator:
hahaha poa poa Raimundo... Hawajui kuwa watu mwaka jana tulifanya mikakati hadi tukapiga dili na wale mafia wa kufix match lakini mambo yakawa magum

Experience is a best teacher, ngoja nao waonje uzoefu watakuja kuwasimulia wajao.
 
Last edited by a moderator:
Dah jaribu kuja angalau kuja hata kwa wiki mara 1 kiongozi maana wakongwe nawaona kimya sana cc root,cute b na wengne

cute b tim yake man u inamchanganya sana hadi anakosa mood ya kuja hapa,, kadhalika Root nae chelsea inamwangusha sana.
 
Last edited by a moderator:
😄😄😄Hakika hii biashara kichaa muhindi anatupiga vilevile kuna wengine humu humu ndani mnataka kutuibia
 
Haa haa inabidi wawe wakakamavu tuu ndo upepo huo tuu wakuu
 
Back
Top Bottom