Odds 200 ukitia Sh10000 tu milion mbili faida kibao hivyo tuchange 20000/ kila mmoja tukiwa kumi atuwezi kumfilisi mzungu sawa
Kwenye mafanikio vikwazo vipo kuna watu wata kutakukatisha tamaa na wengine wata kucheka mwisho ukishinda hayo unafanikiwa
Msiamini sana katika kununua odds,, haya mambo mtapigwa sana hela zenu mtakuja hapa kulia.. Haya mambo tusha yajadili sana ikafika hatua tukawa na conection na watu wa belgium na netherland lakini mambo bado yakawa bilabila.... Anyway akili kumkichwa !!!
Mkulu upo? Umepotea sana aisee
.........nipo mkuu, majukum tu ya hapa na pale
.........nipo mkuu, majukum tu ya hapa na pale
Mkuu nimekuzika!
Aisee ntakutafuta kabla ya sikukuu hapa.
Biashara hii imekuwa kichaa.
Odds haziuzwi, ngoja watu wapigwe tu.
Mkuu nimekuzika!
Aisee ntakutafuta kabla ya sikukuu hapa.
Biashara hii imekuwa kichaa.
Odds haziuzwi, ngoja watu wapigwe tu.
hahaha poa poa Raimundo... Hawajui kuwa watu mwaka jana tulifanya mikakati hadi tukapiga dili na wale mafia wa kufix match lakini mambo yakawa magum