Hongera mkuu!nimelala UNONO
kama prediction yangu inavojieleza apo!
leo nimemkulapo kanjibai
www.ladbrokes.comSiyo big,nataka nijiunge na hiyo kampuni mapema,ili muda ukiwadia tuone kama nani anafaa kunipa mpunga.
kwakweli unaboa waturudishie. muonekano Wa zamanioooh huu mwonekano wa jf...sijaupenda kabisa.
Ni shida sana....japo kwa watumiaji Wa simu.... Kuna kitu wameongeza..... Ambavyo alikua mpaka uingie kwa website...... Ila muonekano ni mbayakwakweli unaboa waturudishie. muonekano Wa zamani
Hapo unetumia kampuni gani????Atletico Madrid 2+
Deportivo 2+
Villareal 2+
Malaga 2+
Celta Vigo 2+
Liverpool 2+
Odds 6....
mkuu nimeirew upya...vitu vingi sana wameongeza. Nafikiri ni kujifunza taratibu.Huyu nae msauzi....anajiita zulu-bet1×2...... Mnaopenda kununua odds....huyo mfateni kakosea 2 tu.... Kila siku mechi 1....
Huyu nae msauzi....anajiita zulu-bet1×2...... Mnaopenda kununua odds....huyo mfateni kakosea 2 tu.... Kila siku mechi 1....
Mambo ya kununua odds yaacheni kam yalivyo...nlichokipata siri yangu ila kama unapesa ya kupoteza ni bora ukasaidia watoto yatima na sio hao wahuni
Jamani,hivi ile option ya kubet kuwa timu fulani itakuwa bingwa msimu huu inapatikana kampuni gani?