Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Safii hata mm naskia harufu ya hela kesho...weka mzigo pata mzigo...
 
Gillingham(2.15)
Walsall (1.79)
B.Albion (156)
Wycombe (1.89)
Leeds (1.84)
ZOTE WIN

Nipo dilemma kumuongeza/jutomuongeza Leicester,ijapo statistics zake dhidi ya Bournemouth ziko very strong,lkn kwa uzofu mdogo nilioupata kutokana na hii biashara ni kuwa asilimia kubwa kuna timu ambayo huaminiwa sana na wengi pasipo na chembe ya shaka kuwa ushindi ni 100% lkn mwisho wa yote hugeuka kilio,mfano ni hapa juzi FC PORTO akiwa nyumbani anapigwa na MARITIMO 1:3,kitu kama hicho naweza hata kufuru kwa kusema kuwa kuna fixed matches maana timu husika huwa ipo kwenye mikeka ya mamilioni ya watu.Hivyo tuwe makini juu ya hili,mwenzenu naendelea kujifikiria.
 
Betting imekuwa ngumu saana...hii ni biashara kubwa japo team nyingi zinazingua saana
 
wakuu huu vipi?

Gillgnam win
Man utd win
Man city win
Southend win
Cardif win
 
Gillingham(2.15)
Walsall (1.79)
B.Albion (156)
Wycombe (1.89)
Leeds (1.84)
ZOTE WIN

Nipo dilemma kumuongeza/jutomuongeza Leicester,ijapo statistics zake dhidi ya Bournemouth ziko very strong,lkn kwa uzofu mdogo nilioupata kutokana na hii biashara ni kuwa asilimia kubwa kuna timu ambayo huaminiwa sana na wengi pasipo na chembe ya shaka kuwa ushindi ni 100% lkn mwisho wa yote hugeuka kilio,mfano ni hapa juzi FC PORTO akiwa nyumbani anapigwa na MARITIMO 1:3,kitu kama hicho naweza hata kufuru kwa kusema kuwa kuna fixed matches maana timu husika huwa ipo kwenye mikeka ya mamilioni ya watu.Hivyo tuwe makini juu ya hili,mwenzenu naendelea kujifikiria.
Nakufuata mkuu
 
Kwan unatumia kampuni gani mkuu..mm natumia m bet kwenye cm yngu haina optn nying ina option mbil yu hzo over na under na handicap sizioniiiii
Option zote ninazo kwa m bet kwa under and over 2.5 maana yake jumla ya magoli yawe 2 or less kwa under na 3 and more kwa over
 
Gillingham(2.15)
Walsall (1.79)
B.Albion (156)
Wycombe (1.89)
Leeds (1.84)
ZOTE WIN
Mkuu Porto alipanga kikosi B pia ilikuwa ni mechi ya kirafiki. Leicester atamgunga Boutnmouth kwani walikuwa na ratiba ngumu sana.
Liver
Man city
si kitoto...

Nipo dilemma kumuongeza/jutomuongeza Leicester,ijapo statistics zake dhidi ya Bournemouth ziko very strong,lkn kwa uzofu mdogo nilioupata kutokana na hii biashara ni kuwa asilimia kubwa kuna timu ambayo huaminiwa sana na wengi pasipo na chembe ya shaka kuwa ushindi ni 100% lkn mwisho wa yote hugeuka kilio,mfano ni hapa juzi FC PORTO akiwa nyumbani anapigwa na MARITIMO 1:3,kitu kama hicho naweza hata kufuru kwa kusema kuwa kuna fixed matches maana timu husika huwa ipo kwenye mikeka ya mamilioni ya watu.Hivyo tuwe makini juu ya hili,mwenzenu naendelea kujifikiria.
 
Sikufuatilia kabisa kikosi cha siku hiyo,kumbe ndo kikosi B.Thumbup to u! point taken
 
Mmmh aisee wadau VP hii option ya under 3.5??imekaaje coz Jana nmekula kwa stail hii japo pesa kidogo
 
Back
Top Bottom