sandman
Senior Member
- Jun 19, 2014
- 197
- 27
Issue ya goals kuwa under na over ni easy kama ukielewa wanamaanisha nini.
Me formula yangu huwa naitumia ile .5 kama kigezo cha kujua maana. Ukiambiwa over unajumilisha point 0.5 na ukiambiwa under unatoa 0.5 ndio inakuwa idadi inayotakiwa.
Mfano:
Under 2.5 means (-0.5) so magoal yawe chini ya 2 ( 0 mpaka 2)
Over 2.5 means (+0.5) jumla magoal yawe zaidi ya kuanzia 3.
Hope walikuwa hawajaelewa wamepata ufafanuzi.